Far from average,single young man looking for a partner

Far from average,single young man looking for a partner

flamini

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
595
Reaction score
788
I’m pretty easy going, down for whatever. I have a huge heart, and I care a lot about people. I’m an open book, ask me whatever. I have a passion for knowledge. I have a passion for teaching. I’m very direct. Say what I mean, mean what I say. I’ll tell you. I will nurture and always encourage you to be the best you can be. I am very intone with my own needs and evolving as a person, I love learning new things and getting a new perspective.

If you're interested you can slide on my PM.
 
Kheri ungeandika kwa kibantu mkuu, maana kwajinsi ulivyo ivunja hii lugha ya bepari... mwisho nimekuonea tu huruma, maana huku ndiko penye tunaita kuchamba kwengi..... , ona sasa umeyashika......tehteehh
 
Sijayashika
 
Haya washindwe wenyewe, wadada wa mjini wanasema yai kama lote

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kheri ungeandika kwa kibantu mkuu, maana kwajinsi ulivyo ivunja hii lugha ya bepari... mwisho nimekuonea tu huruma, maana huku ndiko penye tunaita kuchamba kwengi..... , ona sasa umeyashika......tehteehh
Msaidie kusahihisha ili na wengine tusiomudu lugha tujifunze. BTW asipofanya mazoezi ataimudu vipi?
 
Hivi kweli hakuna mdada alojitokeza? Au Maelezo hayakujitosheleza, na tunavyopenda waongea kinge?

Mrejesho muhimu aiseee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom