Kuna kitu ambacho hakijakaa sawa wewe Dogo, utakosaje mwanamke.?Haku
Hakuna
Nilivojielezea vinatosha,vyengine vinapatikana private.Kuna kitu ambacho hakijakaa sawa wewe Dogo, utakosaje mwanamke.?
1: wewe tuambie umri wako ili tujue status yako, coz huwezi nambia una umri 35 above afu bado unaedesha vits
2:huwezi kuwa na umri wa mwanaume, sio wavulana afu bado unalala kwa shemeji seblen
3: jieleze vizuri ueleweke kama uko 25 basi tu najua unataka wa kuanza nae maisha tutakuelewa tofauti na hapo pambana.
Nb. Kama kawaida yangu natoa elimu ya bure yenye ukweli.
Note:: its better to cry in a VX than a bike.😁😁😁😁😁natania jamani.
Kuna kitu ambacho hakijakaa sawa wewe Dogo, utakosaje mwanamke.?
1: wewe tuambie umri wako ili tujue status yako, coz huwezi nambia una umri 35 above afu bado unaedesha vits
2:huwezi kuwa na umri wa mwanaume, sio wavulana afu bado unalala kwa shemeji seblen
3: jieleze vizuri ueleweke kama uko 25 basi tu najua unataka wa kuanza nae maisha tutakuelewa tofauti na hapo pambana.
Nb. Kama kawaida yangu natoa elimu ya bure yenye ukweli.
Note:: its better to cry in a VX than a bike.natania jamani.
Ila mkuu na wewe umepuyanga kinoma yani.Mwanaume ajiite pretty? RRONDO Huu uzi upelekwe Love connect
Kwa kweli mjibebeKwa hiyo sisi wenye miaka 42 na hatuna hata driving licence mnatoaga kwenye kinyang’anyiro.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo Lugha bibie.....Hivi kweli hakuna mdada alojitokeza? Au Maelezo hayakujitosheleza, na tunavyopenda waongea kinge?
Mrejesho muhimu aiseee!
We waambie una sh ngapi then utawaona dk chache..achana na hizo ngonjeraOr everybody is taken down here?
Nope, Uzi hakuutendea haki Uzi mwenyewe unaonesha the boy is 25 so sio rahisi.Tatizo Lugha bibie.....