TanzActive
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 367
- 73
Naomba kuelimishwa .
Nimecheck website ya NSSF, nikaona fao la Urithi linahusu wale wategemezi wa mwanachama wa NSsF ayechangia miaka15 au yuko kwenye fao la ulemavu, pia awe amefikia angalao miaka 55
Je?
Kama s mwanachama kuchangia miaka ,mfano 9 (miezi108) akafariki akiwa na umri wa miaka 35
Je michango yake ndio imepotea? familia yake haitapita chochote ?
Sent using Jamii Forums mobile app