Fao la Urithi Kwa aliyefariki chini ya 55

TanzActive

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
367
73
Naomba kuelimishwa .
Nimecheck website ya NSSF, nikaona fao la Urithi linahusu wale wategemezi wa mwanachama wa NSsF ayechangia miaka15 au yuko kwenye fao la ulemavu, pia awe amefikia angalao miaka 55

Je?

Kama s mwanachama kuchangia miaka ,mfano 9 (miezi108) akafariki akiwa na umri wa miaka 35

Je michango yake ndio imepotea? familia yake haitapita chochote ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wa mifuko ya kijamii bado Ni wabababaishaji Sana, Sema wamekuta watanzania bado hawajui kabisa haki zao.
Yaani utafikiri hiyo michango tunayoweka Ni Mali yao, wanaweka SHERIA za kidhurumati zisizo na manufaa kwa wanachama na wategemezi wake.

Mimi Kuna sehemu nafanya kazi huu mwaka wa5 na Nina 10mill. Hapo NSSF Sasa nataka niache kazi nichukue changu nikajiajiri wananiambia Kama ukiacha kazi mpka usubiri ufike miaka55 ndo tutakupa maana hauna shida na pesa ndo maana unaacha kazi.
Nilipandwa na hasira ikabidi niondoke maana vinginevyo ningejikuta korokoroni, just imagine now Nina 28yrs nisubir mpka miaka 27 ijayo ndo nipewe 10mill Hawa jamaa Ni wapumbavu sana.

Liserikali halina vision kabisa kazi kuwaumiza watu wake tu na kuwatia umaakini
 
Pole sana Mkuu

Mie bado sijaelewa Hawa NSSF wanaposema kama hujafika 55yrs na hujachangia miezi 180

Fao la kurithi haliwahusu familia yako , sasa ile michango yangu ndio inapotea au ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wa mifuko ya kijamii bado Ni wabababaishaji Sana, Sema wamekuta watanzania bado hawajui kabisa haki zao.
Yaani utafikiri hiyo michango tunayoweka Ni Mali yao, wanaweka SHERIA za kidhurumati zisizo na manufaa kwa wanachama na wategemezi wake.

Mimi Kuna sehemu nafanya kazi huu mwaka wa5 na Nina 10mill. Hapo NSSF Sasa nataka niache kazi nichukue changu nikajiajiri wananiambia Kama ukiacha kazi mpka usubiri ufike miaka55 ndo tutakupa maana hauna shida na pesa ndo maana unaacha kazi.
Nilipandwa na hasira ikabidi niondoke maana vinginevyo ningejikuta korokoroni, just imagine now Nina 28yrs nisubir mpka miaka 27 ijayo ndo nipewe 10mill Hawa jamaa Ni wapumbavu sana.

Liserikali halina vision kabisa kazi kuwaumiza watu wake tu na kuwatia umaakini
Wakuu Nasubiri mawazo
Yenu naamini wapo waliondokewa na wapendwa wao ,ktk hali kama hii walifanyiwaje na NSSF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali kwenye uzoefu wa mazingira kama hayo nipeni NB mawazo

Back
Top Bottom