Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,009
- 74,643
Wamezoea kusema ndio kwa kila wanachoagizwa kusema hivyo. Jee Fao hili la kujitoa ambalo muswada wake umepelekwa bungeni huku ukipingwa na wananchi wachangiaji walio wengi watalazimisha kwa wingi wao kuupitisha ili kuiunga mkono au watajali kilio cha wachangiaji wananchi waliowatuma Bungeni?