Fao la Kujitoa laruhusiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fao la Kujitoa laruhusiwa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by itagata, Oct 30, 2012.

 1. i

  itagata JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Serikali inatarajia kutoa kauli ya kuruhusu fao la kujitoa kwa wafanyakazi kutoka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii katika kikao cha bunge kinachotarajia kuanza leo jumanne mjini Dodoma. hali hii imetokana na malalamiko ya wafanyakazi juu ya sheria iliyokuwa ikiwakataza kuomba fao hilo mara baada ya kuacha ajira mpaka wanapofikia umri nwa kustaafu. Fuatilia vikao vya bunge kwa taarifa zaidi

  source; Habarileo
   
 2. m

  mdunya JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mpaka tupige kelele weeh ndo wasikie!!
   
 3. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
Loading...