fanya kama ambavyo ungependa kufanyiwa

fanya kama ambavyo ungependa kufanyiwa

sharifaa

Senior Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
117
Reaction score
93
ili uwe mwema mbele ya mungu na jamii yako jaribu kujiuliza kwanza kabla ya kutenda,ikiwa nitafanya jambo nani atakae pata effect,? Na kama ningefanyiwa mimi ningeumia kiasi gani.
 
Back
Top Bottom