Fanya ingekuwa ni wewe!!

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
Jamaa aliyepata ajali ya bodaboda akatakiwa kukatwa mguu kwani mguu mmoja ulijeruhiwa sana.Sasa baada ya nusu kaputi jamaa anakutana na uso wa daktari ukishangaa.
JAMAA;..vipi daktari unashangaa nini?!
DAKTARI;...kuna taarifa mbili,moja nzuri nyingine mbaya.Ipi ungependa kuisikia kwanza?
JAMAA;Anza na mbaya...
DAKTARI; mbaya ni kwamba tumeukata mguu ambao sio.
JAMAA;..Enhe! Na nzuri je?!
DAKTARI;Mguu uliotakiwa kukatwa unaanza kupona...
Hebu fikiri ungekuwa wewe ungemfanyeje huyu daktari?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom