BIG STONE AND CONER STONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 479
- 821
Mkuu kama ni mtu wa imani basi hapa leo sema nishafanikiwa ngoja naleta muendelezoHujaweka namba ya kutuma muamala tangazo limeeleweka
Ahahaha kwanza anakaa mbali huyo.Mara ghafla uone mama mwenye nyumba ndo anakuja ππ
Sawa mkuu tupo pamoja hapa leo sa naneNgoja nijiandae kwanza mkuu.
Mkuu unaanza na yakuz unamalizia yavuz unafanya hivo mara mia tatu au miasabaVijana wanashiriki uganga bila kujua.
Umesema yakuz na yavuz mara ngapi....Ndio nipo macho sasa, hakuna chochote
YAKUZ MARA 300ukweli hapo Jamaa wa Kawe karbu na kwa mwinyi Wana Haki kufungia uzi ila ni wa baguzi japo bado uzi wako ni wa kufikirika Ila kufungia sio poa maana Kila mtu aamue na kichwa chake mm Nilianzisha uzi..Jana na wamefuta japo ni mtazamo wangu Ila Mzungu Ana akili mno, Afuti kitu ni juu yako na watu wako ..eg Facebook , insta...
Kuna tofauti gani na zile maneno anazotamka mganga akizikili kwa majini yake ?Mkuu unaanza na yakuz unamalizia yavuz unafanya hivo mara mia tatu au miasaba
Haya ni majina ya malaika ambao kazi yao ni kuangali yajayo ni kukufikishia kwa njia ya maono.Kuna tofauti gani na zile maneno anazotamka mganga akizikili kwa majini yake ?
Mi nitajaribu kesho kutwa, Leo nasherehekea kuchakaa Kwa MadridSawa mkuu tupo pamoja hapa leo sa nane
Kule kwa uzi wa madrid niliwambia mashabik imbeni haya maneno wakajikuta oooh ooooh toka..Mi nitajaribu kesho kutwa, Leo nasherehekea kuchakaa Kwa Madrid
Hahahah π π π π€£ πKule kwa uzi wa madrid niliwambia mashabik imbeni haya maneno wakajikuta oooh ooooh toka..
Ona sasa
Malaika haitwi kwa trick Mana Imani ni wajibu timiza was kwako na wao watimize wa kwao ....... Unakijua unachokiiita kwa undani ?Haya ni majina ya malaika ambao kazi yao ni kuangali yajayo ni kukufikishia kwa njia ya maono.
Usiku wa manane ni usiku tulivu mno
Mkuu katika situation yoyote hile taja haya majina YAKUZ YAVUZHahahah π π π π€£ π
Una elimu yoyote kuhusu angiology mkuu?Malaika haitwi kwa trick Mana Imani ni wajibu timiza was kwako na wao watimize wa kwao ....... Unakijua unachokiiita kwa undani ?
Nimeshayakopi hayo maneno.Mkuu katika situation yoyote hile taja haya majina YAKUZ YAVUZ
Hehehe!!!YAKUZ, YAVUZ
Daaah aiseee nimesikitika sana...Nimeshayakopi hayo maneno.
Wakati wa kujamiiana nitatamka hayo maneno nikiona mbolo langu limelala chali baada ya kufunga goli moja la counterattack.
Mkuu karibu ila kuwa makini na imani yakoHehehe!!!
Yaani uboo wanguDaaah aiseee nimesikitika sana...
Sema its oky maana haya maneno yana maajabu ila usizidishe zaidi ya mia saba maana yanaweza leta effect mkuu