Fanya hivi usiku wa manane

Fanya hivi usiku wa manane

Poor Brain

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
27,402
Reaction score
54,845
Hi ni mara ya pili natoa elimu ya Angel number lakini mod wamekua wakifuta kila siku its oky..

Leo natoa somo moja ambalo kama una roho nyepese usije jaribu hata kidogo.

Ikifika sa nane usiku jifungue chumbani kwako kama upo na mwenzako mwambie akupishe maana hilo jambo ni pasua kuchwa kidogo.

Baada ya hapo hakikisha ujavaa nguo zenye kukubana sana yaani uwe freely.

Katika hiko chumba hakikisha hakuna maji, chumvi wala kitana au chanuo.

Chukua simu yako kisha weka hii nyimbo kwa sauti kubwa sana kama una earphones vaa (Hoist the colour)
images (6).jpeg

Nyimbo hii inapoanza kuimba weww kuwa unasema haya maneno mara kwa mara

(YAKUZ, YAVUZ )
IMG_20250409_100738.jpg


Mda huo unakua umekaa chini ujaegemea popote pale. Baada ya nyimbo kuisha kwa kuwa uliweka repeated one mara ya pili acha kusema haya maneno ila sasa hvi sema chochote unachotaka kukiona mda huo unakua umefumba macho.

Nb unapoonza hakikisha unamaliza
 
Ndiyo maana MODS wanafungia nyuzi zako, NAWASHAURI MODS WAKUPIGE BAN KABISA! HII NI ELIMU GANI ISIYOKUWA NA MUKTADHA WOWOTE! UNAANDIKA THREAD ALAFU UNAISHIA HEWANI! THIS IS FOOLISHNESS SIO KNOWLEDGE!!
Mkuu bado unaendelea unazani hizo elimu tunatoa toa tuu.
Hapo mpka mchangie chochote kitu niendelee ujue jinsi ya kufungua jicho la 3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom