Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 126
- 186
Kusajili Kampuni ya Construction Kuna procedures zake ambazo hazijaachana sana na Kampuni ya kawaida, ila hapa nitakuandikia in details procedures hizo;
1/5 Company Registration
Hapa utafuata taratibu zote za brela kama kuandaa documents, kufanya application na kulipia fee, baada ya usajili wa Kampuni kukamilika unaenda hatua ya pili.
2. TRA stage, hapa Kuna mambo matatu yanafanyika,
a) makadirio ya Kodi
b) TIN
c) Tax clearance
3. Project Registration
4. Kujisajili CRB
Hii inaitwa Contractors Registration Board ni board ambayo kila mtu aliyepo kwenye construction industry anatakiwa kua member.
5. Other compliances kama OSHA, WCF na NSSF
I hope this helps.
Hey, naitwa luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe Kusajili Kampuni na biashara, kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni unaweza kunitumia ujumbe Whatsapp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite lawyer.