Jamaa kaelezea kwa lugha rahisi huku ukiwa unaona jinsi watu wanavyoweza kukudaka ukiwa umeachia sehemu ya location kutumika kwenye mtandao Instagram. Fuata maelekezo, jilinde.
Your browser is not able to display this video.
Mbali na hili, tofauti na biashara acha kupenda kupost maeneo unayopenda kutembelea au unapopoa mara kwa mara, hadi ukitaka kujamba huyo ushapost!
Hata bila kuwasha location ni rahisi watu kukuotea na kukupata, anajua akitembelea maeneo yako matatu manne lazima akupate sehemu moja wapo.