Fanya haya unapomfumania mwenzako

Fanya haya unapomfumania mwenzako

Upo sahihi kwa asilimia 75 kwasababu baadaye mkipatana,aibu inakurudia uliyekuwa unapiga mayowe.....pia kwasasa utandawazi kuna videos zinaweza kurekodiwa,mkawa memes mitandaoni.

NB: Ila mkuu mke anauma,sikia tu kwa mwenzio usiombe yakukute
ndio mke anauma sana lakini akiliwa usifanye fujo,when you are in a war organiza dont antagonize
 
Ewe mwanandoa, unapomfumania mwenzio usizue varangati,ni aibu. Hebu mstiri mwenzio, usiruhusu hasira ikutawale na kuzuia taharuki na watu wajae, hupati faida yoyote.

Nyamaza, mruhusu huyo mgoni wako aondoke, ongea na mwenza wako kwa upole mlitatue na mkishimdwa nendeni kwa viongozi wenu waliofungisha ndoa mtatue hilo tatizo, msivuane nguo hadharani.
Utumbo
 
Hapa ngoja nipite kimya kimya maana najua akili zangu zilivyo.!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom