Fanya haya unapomfumania mwenzako

Fanya haya unapomfumania mwenzako

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,606
Reaction score
8,270
Ewe mwanandoa, unapomfumania mwenzio usizue varangati,ni aibu. Hebu mstiri mwenzio, usiruhusu hasira ikutawale na kuzuia taharuki na watu wajae, hupati faida yoyote.

Nyamaza, mruhusu huyo mgoni wako aondoke, ongea na mwenza wako kwa upole mlitatue na mkishimdwa nendeni kwa viongozi wenu waliofungisha ndoa mtatue hilo tatizo, msivuane nguo hadharani.
 
Mahusiano yoyote yale kama mnashindwa suluhisha nyie wawili basi bora kuachana. Usihusishe watu wengine, sio mzazi padri au rafiki.
Mwisho kabisa usiache mke eti kisa kagegedwa na de libolo lingine. Kila mwanamke anacheat. Tulizana nae alupe style mpya mpya
 
Ewe mwanandoa, unapomfumania mwenzio usizue varangati,ni aibu. Hebu mstiri mwenzio, usiruhusu hasira ikutawale na kuzuia taharuki na watu wajae, hupati faida yoyote.

Nyamaza, mruhusu huyo mgoni wako aondoke, ongea na mwenza wako kwa upole mlitatue na mkishimdwa nendeni kwa viongozi wenu waliofungisha ndoa mtatue hilo tatizo, msivuane nguo hadharani.
Kuna vitu vya kusitiri na kumaliza kimyakimya lakini sio fumanizi, fumanizi inatakiwa ufanye public announcement kabisa ili wagoni wako wajue uzito wa walichokifanya hata huko zamani tunaambiwa walikuwa wanaletwa mbele ya kadamnasi then wanapopolewa mawe mpaka kifo
 
ok ukishamuumbua in public namna hiyo wewe unafaidika na nini?
 
Ewe mwanandoa, unapomfumania mwenzio usizue varangati,ni aibu. Hebu mstiri mwenzio, usiruhusu hasira ikutawale na kuzuia taharuki na watu wajae, hupati faida yoyote.

Nyamaza, mruhusu huyo mgoni wako aondoke, ongea na mwenza wako kwa upole mlitatue na mkishimdwa nendeni kwa viongozi wenu waliofungisha ndoa mtatue hilo tatizo, msivuane nguo hadharani.
Kitendo cha yeye kuchepuka tayari keshakuvua nguo hadharani. Wewe unakuwa unamalizia tu alichokianza
 
Nilifumania nikataka kumzalilisha yule mwanamke nikaona haina haja, Nikashusha pumzi nikamuambia me naenda kulala naomba huu muda utumie kuandaa kila kilicho chako na utokomee huku machozi ya hasira yakinitoka... Akanifanyia hadi usafi ndani ndipo akaniamsha kiniaga, Nikaamka kichovu sana wakati huo boda anamsubiri nje na ameshapakia nguo zake tukakumbatiana kuagana... Ikaishia hapo.
 
Haina haja kumzalilisha ila kuendelea naye asee inauma unajua kabisa mkeo , dem, mpenz ameliwa ukifaya naye unajiskiaje? Acha aende kiroho safi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom