Fanya haya unapomfumania mwenzako

Fanya haya unapomfumania mwenzako

Kuchepuka kunaondoa imani na usiombe kuishi bila kuaminiana
 
Kumsitiri mwenzio ni pamoja na kutomvulia nguo asiye wako.
Msitiri kama una mpango wa kuendelea kuishi nae
 
Ewe mwanandoa, unapomfumania mwenzio usizue varangati,ni aibu. Hebu mstiri mwenzio, usiruhusu hasira ikutawale na kuzuia taharuki na watu wajae, hupati faida yoyote.

Nyamaza, mruhusu huyo mgoni wako aondoke, ongea na mwenza wako kwa upole mlitatue na mkishimdwa nendeni kwa viongozi wenu waliofungisha ndoa mtatue hilo tatizo, msivuane nguo hadharani.
Kuna jamaa alimkuta wait wake LIVE na jamaa yake. Alipowafumania alirudi nyuma akawahi home. Baadae waif alirudi home, jamaa hakumuuliza Wala kumsemesha, maisha yaliendelea lkn mwanamke alikonda na kupauka ngozi Kama changudoa wa Mbagala. Jamaa hakuhangaika naye kabisa, alichofanya Ni kuanzisha mahusiano rasmi na mchepuko wake, Mara alale kwa mchepuko, Mara alale nje. Huku mke wake akiendelea kuchoka.
 
Mahusiano yoyote yale kama mnashindwa suluhisha nyie wawili basi bora kuachana. Usihusishe watu wengine, sio mzazi padri au rafiki.
Mwisho kabisa usiache mke eti kisa kagegedwa na de libolo lingine. Kila mwanamke anacheat. Tulizana nae alupe style mpya mpya
Umerud mzee wamada za mizagamuo
 
Nilifumania nikataka kumzalilisha yule mwanamke nikaona haina haja, Nikashusha pumzi nikamuambia me naenda kulala naomba huu muda utumie kuandaa kila kilicho chako na utokomee huku machozi ya hasira yakinitoka... Akanifanyia hadi usafi ndani ndipo akaniamsha kiniaga, Nikaamka kichovu sana wakati huo boda anamsubiri nje na ameshapakia nguo zake tukakumbatiana kuagana... Ikaishia hapo.
Utaahira
 
Ewe mwanandoa, unapomfumania mwenzio usizue varangati,ni aibu. Hebu mstiri mwenzio, usiruhusu hasira ikutawale na kuzuia taharuki na watu wajae, hupati faida yoyote.

Nyamaza, mruhusu huyo mgoni wako aondoke, ongea na mwenza wako kwa upole mlitatue na mkishimdwa nendeni kwa viongozi wenu waliofungisha ndoa mtatue hilo tatizo, msivuane nguo hadharani.
Upo sahihi kwa asilimia 75 kwasababu baadaye mkipatana,aibu inakurudia uliyekuwa unapiga mayowe.....pia kwasasa utandawazi kuna videos zinaweza kurekodiwa,mkawa memes mitandaoni.

NB: Ila mkuu mke anauma,sikia tu kwa mwenzio usiombe yakukute
 
Kuna jamaa alimkuta wait wake LIVE na jamaa yake. Alipowafumania alirudi nyuma akawahi home. Baadae waif alirudi home, jamaa hakumuuliza Wala kumsemesha, maisha yaliendelea lkn mwanamke alikonda na kupauka ngozi Kama changudoa wa Mbagala. Jamaa hakuhangaika naye kabisa, alichofanya Ni kuanzisha mahusiano rasmi na mchepuko wake, Mara alale kwa mchepuko, Mara alale nje. Huku mke wake akiendelea kuchoka.

Huu ndio mpango mzima, hakuna hata kuongea nae kuhusu tukio
 
Ewe mwanandoa, unapomfumania mwenzio usizue varangati,ni aibu. Hebu mstiri mwenzio, usiruhusu hasira ikutawale na kuzuia taharuki na watu wajae, hupati faida yoyote.

Nyamaza, mruhusu huyo mgoni wako aondoke, ongea na mwenza wako kwa upole mlitatue na mkishimdwa nendeni kwa viongozi wenu waliofungisha ndoa mtatue hilo tatizo, msivuane nguo hadharani.
Upuuzi mtupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom