Mkuu kati ya miziki hii miwili hapa chini,chaguo lako ni lipi na kwanini? Naomba nisaidie kufanya maamuzi sahihi,Hiyo home theater ni SONY watt 400 bei 550k na hiyo nyingine ni LG X boom 400w bei 650k View attachment 2460704View attachment 2460706
Na mimi nimeipenda sana hiyo LG,lakini wadau wengine wanaikataa.Ningechukua lg
Bass nzuri (kwa kutazamaukubwa wa speker na box)
Good looking
True sound 2.1channel
Twende na lg
Hizo 2.1 jamani zamani sana tupo 5.1. 2 or 5.1.1 au 7.1.2 au 7.2.2 au 9.2.4Ningechukua lg
Bass nzuri (kwa kutazamaukubwa wa speker na box)
Good looking
True sound 2.1channel
Twende na lg
Habari naomba uelezee kidogo kuhusu sound bar kama unauzoefu nazo.
Asante mkuu🙏🏼Hasa home sound system
yap. kwenye avr pioneer elite vsx lx 302Hivi wazee mshawahi tumia 5.1.2 au 7.2.1 sound syatem
Hongera sana kwa kipaji murwa cha music displaying systems.Kwa wanao tumia pc ku play music
Equlizer apo inafanya sounds kua safi sana
Nje ya mada kidogo mkuu Kuna subufa nimeifungia mp3 lakin inakoroma/inavuma Sana solution nini hapaAhsante
Karibu