Fantastic Wedding......!!!

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
542941_371512299551832_100000791940063_1004272_981859282_n.jpg
 
Jamaa engineer wa barabara nini?maana lazima amechukua heavy machine zote za project....siku yake!
 
will the marriage last au ndo matatizo yatakuwa ya kuchimba na bulldozer? ndoa njema maharusi
 
wangeyaleta haya Makatapila yaje bongo kutengeneza Barabar huko kwao hayana akazi yanatembea tu Mabarabarani. Ndoa nzuri nimeipenda.

Mbona yameshakuja mkuu? Kuna makampuni ya kichina huku bongo yanakula mikataba ya ujenzi ile mbaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom