Fani ya Wildlife Management & Tourim

Fani ya Wildlife Management & Tourim

Anyway vigezo vyote unavyo,but kuna company nyingi zina recruit trainee guides to become guides hasa mwezi dec-Jan hukuomba huko?

Nimejaribu kuomba lakini email hazijibiwi nimetuma application 60+ nimefanikiwa kuitwa zisizo zidi 7 na mbili ndo zilikua kampuni za kizungu hizi zingine naona Interview zilikua za helesha na walikua na watu wao tayari.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ok asilia Africa hutangaza nafasi hizo kila mwaka na unaqualify coz qualification zote unazo.
Keep updated.
 
Back
Top Bottom