Siku moja bungeni Zitto Kabwe alisema kuna watanzania watatu tu wenye kiwango hiki cha elimu ambao ni Dr. Bilal na watanzania wengine wawili, mmoja yuko Kenya na mwingine yuko CanadaHivi Dr. Gharib Bilali alisomea nini? Je fani yake nayo sio miongoni mwa zile zenye watu wachache?
Hizo ndio sasa tunazosema fani adimu, sipati picha kale kanuclear fizix cha six kilivyo alafu mtu ana PHD sio ya kuungaunga ya hayo makitu acha kabisaSiku moja bungeni Zitto Kabwe alisema kuna watanzania watatu tu wenye kiwango hiki cha elimu ambao ni Dr. Bilal na watanzania wengine wawili, mmoja yuko Kenya na mwingine yuko Canada
Siku moja bungeni Zitto Kabwe alisema kuna watanzania watatu tu wenye kiwango hiki cha elimu ambao ni Dr. Bilal na watanzania wengine wawili, mmoja yuko Kenya na mwingine yuko Canada
Yah Kondolo, kabla ya hapo DIT alikuwa Head ya Dept ya Fizix Pale UDSMHata mkuu wa chuo cha DIT nae ana PhD ya Nuclear Physics
WEKA PICHA MKUU.
Yah Kondolo, kabla ya hapo DIT alikuwa Head ya Dept ya Fizix Pale UDSM
umeteleza kidogo pr kondoro amebobea kweny Quantum mechanics sio nuclear physicsHata mkuu wa chuo cha DIT nae ana PhD ya Nuclear Physics
ACTUARIAL SCIENCE
Kuna Prof Kondoro DIT pia.Siku moja bungeni Zitto Kabwe alisema kuna watanzania watatu tu wenye kiwango hiki cha elimu ambao ni Dr. Bilal na watanzania wengine wawili, mmoja yuko Kenya na mwingine yuko Canada