sanga misuka
Member
- Aug 24, 2017
- 49
- 61
Picha kwanza huwezi kutibu kitu ambacho hujakionaNenda kanunue Dettol ya maji jipake sehemu zinazo kusumbua baada ya siku tatu uje hapa na mrejesho
PichaPole mkuu, tena na hili joto la dar kama nakuona vile.
Hivi unaujua mziki wa Dettol wewe? Ile inachoma sasa unataka umfanye nini mwenzio aongezee tatizo?Nenda kanunue Dettol ya maji jipake sehemu zinazo kusumbua baada ya siku tatu uje hapa na mrejesho
Picha kwanzaHivi hizi fangasi anazosema mleta uzi ndio ile "pumbujero" tulizokuwa tunapata enzi za boarding school?
Shimo lipi unazongumzia?Ni kwamba unaingiza kwenye shimo lilelile linalokusababishia fangasi.
Tibu kwanza shimo kisha jitibu
Badilisha mtindo wa maisha. Tofauti na hapo utasumbuka na huo ugonjwa milele
Unataka apake dettol kwenye rungu???Nenda kanunue Dettol ya maji jipake sehemu zinazo kusumbua baada ya siku tatu uje hapa na mrejesho
Hiyo ndio dawa zingine atamaliza pesa muhimu awe amehakikisha kuvumilia kwa sekunde 3-5 baada ya hapo Kuna upepo mzuri utampuliza na muwasho utapotea kabisa baada ya masaa ataanza kubandua ngoz ambayo n useless iliokuwa inasababisha muwasho.Hivi unaujua mziki wa Dettol wewe? Ile inachoma sasa unataka umfanye nini mwenzio aongezee tatizo?
Dettol bila kidonda inaunguza sasa sipati picha kwenye kidonda tena Ile ya maji ni balaa atalia kikwaoHiyo ndio dawa zingine atamaliza pesa muhimu awe amehakikisha kuvumilia kwa sekunde 3-5 baada ya hapo Kuna upepo mzuri utampuliza na muwasho utapotea kabisa baada ya masaa ataanza kubandua ngoz ambayo n useless iliokuwa inasababisha muwasho.
Muhimu ajikaze na ahakikishe amefunga mlango kama nyumba haina bord juu aangalie asije akarukia kenchi.
Muhimu ajikaze Dettol ya maji n msaada mkubwa wengi imewaokoa fast and clear na gharama nafuu matumizi siku chache