Fance wire zinauzwa

Fance wire zinauzwa

msonganzila

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
204
Reaction score
106
Karibuni ndugu jamaa na Marafiki tunapokea na kutengeneza Order ya Fance wire kwa Idadi tofauti tofauti,zinapatikana kwa ukubwa Wa 2.00mm 15mtr kwa urefu na 6ft kwa upana pia Size:-
2.00mm
2.5 mm
3.00mm
Karibuni sana....
1474485235390.jpg
 
Kwa 2.00mm,70,000/=
Kwa 2.5mm,80,000/=
Kwa 3.00mm,100,000/=
Bei hiyo kwa kila pcs moja....
Dah,
Maisha yanaenda kasi sana aisee.
Yaani leo hii Kipande cha Mita 15 tu kinauzwa kwa Alfu 80,
Means kila mita 1 ni Tshs 5,300/=, kwa kitu ambacho mtu hata ukikiweka basi mtu wa ng'ambo ya pili anaona.
 
Sema tangu mlipomnunua slaa hakuna biashara nyingine jukwaa la siasa
labda nunue hizo waya tuu.

Tafuteni kingine cha kusema Dr.Slaa hanunuliki.Kama mnaweza kumnunua jaribuni kumnunua JPM au huyohuyo Dr.Slaa maana bado mna mwenye fedha zisizo na maelezo nyumbani mwenu.Tuongee biashara yenye tija ya hizo waya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom