hapana its analog ina vidude vyake vya kubonyeza na power cable inayoenda kwenye switchinatumia limont ndugu
35000 ndiyo bei yake ikiwa mpya, iweje uuze bei hiyohiyo kitu used?
remote control!Inatumia limont ndugu
La ukutani au? manufacturer nani?
35000 ndiyo bei yake ikiwa mpya, iweje uuze bei hiyohiyo kitu used?
Wehu wangu ni upi tena bwashee?. Mnunuzi anakwambia ukweli unamtukana? Kwa kauli hizo,Tuone kama utauzaacha wehu duka lipi wanauza bei hyo,mie nimenunua dukani kwa 60000tsh na ina miezi mi5
tatizo unaparamia sana kwanza wewe sio mnunuzi bali waleta siasa,tulia kimywa wacha wanaohitajiWehu wangu ni upi tena bwashee?. Mnunuzi anakwambia ukweli unamtukana? Kwa kauli hizo,Tuone kama utauza
Tuache kiswahili mrefu, nakushikisha kilo 25. Kama uko tayari ni-PM. Ulisema aina gani vile?tatizo unaparamia sana kwanza wewe sio mnunuzi bali waleta siasa,tulia kimywa wacha wanaohitaji