Kwa kukusaidia angalia mgongano wa maelezo yalotolewa (contradictions)
Mfano: "All the terrorists were men except about three women!"
Yaani "magaidi WOTE walikuwa wanaume ila wanawake walikuwa watatu.................. Kama ni WOTE walikuwa waume, yanini kusema kuwa wanawake walikuwapo?
"We killed all the terrorists, even though, we have not seen their bodies."
Yaani: Tumewaua magaidi wote ingawa hatujaona miili yao............ umejuaje kuwa wameuwawa wote wakati hujui idadi yao na hata miili yao hujaiona?