3. Samia (wanafamilia 3)
Reform zinafanyika kwa taratibu za kisayansi na si kwa matamko! Kuna sayansi ya siasa,nayo ni kuingia bungeni,ndipo upigie huko kelele,lakini kwa njia ya kubweka bweka hakusaidii lolote!Unatiki huku unaogopa kuomba reforms kwenye chama chako..!!
Uoga huo mwanaume mzima unasubiria wajumbe wakusaidie..!!
Bungeni unaingia vipi km hao viongozi wenu wanawakata watu ambao wanachama wenzao wanaowakosoa km Mpina na Gwajima??Reform zinafanyika kwa taratibu za kisayansi na si kwa matamko! Kuna sayansi ya siasa,nayo ni kuingia bungeni,ndipo upigie huko kelele,lakini kwa njia ya kubweka bweka hakusaidii lolote!
Lucy una siri sana wewe kumbe umekuwa mama wawili hata husemi, nimezidaka toka kwa johnthebaptistAcha dharau zako hapa wewe
Makomrades mmeachwaHakika Comrades tunaumizwa
Huyu Mshamba anasema riziwani alifaulu kwa kiwango cha juu mlimani nikamuuliza unajua uwezo wa tiziwani kichhwani???? Akaishia kutikisa makalio na kushangilia Mama mama mamaMwashambwa family Lucas Mwashambwa
Familia ya Lucas Mwashamba pia imejaa IKULU na Bungeni.
Ila pia naomba tuikumbuke ile hadithi ya wale viumbe wadogo ambao hurithi mfanano wa matendo yao tangu babu hadi mjukuu.Hakutakuwa bunge la nchi litakuwa kikao Cha ukoo wa wanaccm.
Undugulization