Familia zitakazojaa Bungeni

Familia zitakazojaa Bungeni

Kwa wasio na comnection hii nchi ishakuwa ya kifalme kilichopo ni kusaka pesa ya kukuwezesha kuoshi kama una bet subiri ligi zirudi upambane, wa kilimo subiri mvua zianze kila mtu apambane anavyoweza usitegemee ajira zozote za maana, maana huko juu kuna wanasiasa wakubwa kazi zote za juu wanajaza familia zao

Hizi kazi za kati zenye maslahi wapo watoto na ndugu wa wakurugenzi, wakuu wa mikoa, wakuu wa majeshi, wakuu wa wilaya na wengineo.

Tupamvaneni wakati tukisubiri Mungu kuingilia kati. Humu Jf tuliokuwa tunawategemea labda ni wazalendo na wako kwenye system huenda wakaleta mabadiliko nao kwasasa wanalialia tu kama sisi.

Nchi imekuwa mali ya kikundi kidogo kikiongozwa na JK
 
Hii inaonekana ni kawaida na haki yao ila inajenga transfigure formation kwa familia kuhodhi siasa za nchi na kurithishana madaraka vizazi na vizazi na kuibuka madaraja ya watawala na watawaliwa. Udikteta unachipuka kwa mtindo mpya Tanzania tusikubali ushenzi huu
 
Hii inaonekana ni kawaida na haki yao ila inajenga transfigure formation kwa familia kuhodhi siasa za nchi na kurithishana madaraka vizazi na vizazi na kuibuka madaraja ya watawala na watawaliwa. Udikteta unachipuka kwa mtindo mpya Tanzania tusikubali ushenzi huu
Kwa wewe nani kakuzuia kugombea?
 
Hii sio nchi ya Tanzania . Bali ni Tanzania loyal family.
 
Niliwahi kulalamika kuhusu state capture mwaka Jana lakini watu hawakunielewa. Sasa haya ndio madhara yake.
 
Yule aliyepaswa kukemea naye?,(kituko cha Karne) CCM Inastahili kujivua gamba version 2,kanuni zibadilishwe,miiko isimamishwe,uwezekano wa kutengeneza monarch state ni mkubwa mno,kwa madhaifu yaliyopo!
CCM SITUKENI JUU YA HILI,WAKATENI KWA MAKUSUDI KUNUSURU MADHAIFU HAYA.
I LOVE CCM,OCTOBER TUNA ✔️
Unatiki huku unaogopa kuomba reforms kwenye chama chako..!!
Uoga huo mwanaume mzima unasubiria wajumbe wakusaidie..!!
 
Halafu wakisimama wanakwambia vijana mjiajiri tena kule kwenye UVCCM ndio kumefanyika umafia ila ukiwa CCM hutakiwi kusema kweli.
 
Back
Top Bottom