and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Huyu yupo tayari katika familia kuuMchengerwas
Halafu Kimpina kamseme mojawapo hapo1. Mwinyi ( wanafamilia 4),
2 . Aweso ( wanafamilia 2),
3.
Hakutakuwa bunge la nchi litakuwa kikao Cha ukoo wa wanaccm.1. Mwinyi ( wanafamilia 4),
2 . Aweso ( wanafamilia 2),
3.
TANZANIA ROYAL FAMILIES PROJECTSTANZANIA COMPANY LIMITED.
Ni kama kijani walisubiri kwa shauku kubwa Chadema wasiwepo ktk uchaguzi wakijua wataiba kura na kwa watu wao na family zao watakazajaza bungeni,waende kumiliki Kila kitu ktk nchi hii1. Mwinyi ( wanafamilia 4),
2 . Aweso ( wanafamilia 2),
3.
Ndiyo hao hao kina SamiaMchengerwas