Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,686
Anaonekana mtoto ni wa shamba boi hivi!!!
Nipeni panga langu niue mtu
Is anything wrong here?
Anaonekana mtoto ni wa shamba boi hivi!!!
Jirani kama huyu mleta uzi atanifaa sana..Tatizo utajuaje?
Ndio mambo ya familia za siku hizi.Baba anasaka hela kwa nguvu zote kwa biashara zinazomfanya asafiri wiki tatu au nne yuko mbali na nyumbani. Mama anamwambia shamba boi njoo ulale huku chumbani unisaidie kumwua nyoka niliyemwona uvunguni.Shamba boi anatii amri lakini haoni nyoka wala nini anapigiwa stori nyingine!Kuna familia moja iko hivyo naifahamu sana.Baba hajastuka mpaka leo!