Familia za kizungu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Familia za kizungu....

Discussion in 'Jamii Photos' started by Boflo, May 3, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapo ni George and Dragon ya Masaki, sehemu wanayoingia wazungu watupu na wake zao

  IMG_3536.JPG
   
 2. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbona ni negroids? who are they? Loose the fake hair ladies!
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo hao kina dada ni wazungu??:gossip:
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hivi Hiyo Club iko Bongo Boflo mie Raia wa Tanzania siruhusiwi kuingia sehemu kama hiyo ??
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  this is too much now....tungejitahidi kuachana na huyo dada....kuna vitu vingine vya kuzungumza,vingi tuu
   
 6. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wote hao wame zungunisation. check photo IMG_3570.JPG
   
 7. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mhhhh..wathugu hawa nani kawa photo?..kama ya maanisha weusi hawa ni wake za wathungu wanaoruhusiwa kuingia hapo, mleta picha hii atakuwa ni miongoni mwa hao wake za wathungu?..
   
 8. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  si rahisi kuingia hapo kwa mbantu...labda uwe umeolewa na mzungu...... halafu bia ni alfu nane
   
 9. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #9
  May 3, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kenya huu jinga ndio waliukataa na kuwachomea kiji-club kao.
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  sijaelewa bado aaaaaaaaaaaaaaaaaaagh yaani mbongo hawezi kuingia hapo kisa ni gharama au ni marufuku ?????kumbe bado kuna ukabaila ...............
   
 11. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa hawa ni wake wa wazungu au wako kibiashara hapa?
   
 12. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Hebu tuwekane sawa ina maana ukifika Mtanzania unaambia huruhusiwi kuingia ni member only au?Tumtume celebrity Kanumba
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  .. mtoto wa kiume acha umbeya..
   
 14. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #14
  May 3, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hiyo English pub ambayo mswahili hawezi ingia hapo labda awe mke wa mthungu zaidi,mimi na wewe tukienda pale tunarudishiwa mlangoni.
   
 15. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kama wanaingia hao Wazungu au walioolewa na hao...Sasa unataka tufanyaje Boflo!
   
 16. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  niwakina nani hao wadada mami, mana natoa tu jicho hapo sielewi lolote?
   
 17. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  kivipi? kwamba mnahicwa hamtaweza gharama za hapo au ni special kwa wake za wazungu tu?...mtoa thread haeleweki, angetupa maelezo bwana.
   
 18. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145

  hhahahaaaaa nimecheka,,,ndo ivo izi club mbona zipo tu!!no mswazi kuingia na habari ndo iyo
  utumwa kwenda mbele hii nchi ni kama ilishauzwa hivi!!
   
 19. D

  Dina JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kumradhi, lakini hata sijui ilipo! Iko wapi tuka-test kufukuzwa? ama ntacheka jinsi nnavyoambiwa siruhusiwi kuingia!
   
 20. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dina, usiombe yakukute....dunia utaiona chungu...na kinachouma zaidi atakayekukataza kuingia ni mswahili mwenzako ambaye ni mfanyakazi wa wazungu
   
Loading...