Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,225
- 6,349
Shida kweli maana hii inaathiri pia hata viongozi wao kama Wasira anayelilia ubunge toka kwa Bulaya kila uchwao. Mara amtishie kumwachisha na jamaa yake mara akimuona anamvunja miguu na kumwagia tindikali ili tu mtoto wa watu aachie ubunge.Shida kubwa ni ubabe watu hawataki kuelekezwa na kukubali kutii.