Familia yajiua Iringa

Familia yajiua Iringa

mungi.gif

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi.PICHA|MAKTABA

Kwa ufupi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi na kwamba mama huyo alifariki dunia alipokuwa akipatiwa matibabu katika Zahanati ya Kilolo.

Kilolo
Mwanamke mmoja wa Kijiji cha Mtitu wilayani hapa, Grace Lubava (33), amemuua mtoto wake kwa sumu na kisha naye kujiua kwa njia hiyohiyo na baadaye mumewe, George King’ung’e (45), kujinyonga kwa kamba kutokana na vifo hivyo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi na kwamba mama huyo alifariki dunia alipokuwa akipatiwa matibabu katika Zahanati ya Kilolo.

“Kifo cha mama na mtoto kilitokea baada ya mumewe kumzuia mkewe kwenda kumwona baba yake ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Tosamaganga,” alisema Mungi.

Alisema kuwa mume alimzuia mke huyo kwenda hospitali kwa madai kuwa alikuwa anakwenda kwenye mambo yake binafsi jambo ambalo lilimkera mwanamke huyo kiasi cha kufikia uamuzi huo.

Kamanda Mungi alisema baada ya King’ung’e kubaini vifo hivyo na msingi wake, aliamua kwenda porini na kujinyonga.

CHANZO: Mwananchi

Daaah aise uku panafaa kuoa mke kweli wana jf?
 
Kana Gangilonga Nendeni Kwa MAMA SIYOVELWA MKALE NOAH.
hahahahahahha........................
weee umesahu kuna kijiwe kipya kimefunguliwa njia ya kushuka kwa mkuu wa mkoa kizuri jee sasa??
skumbuki tu jina ila kesho mchana ntakuwa apo lol!!
 
Ukikuta pamefungwa unajinyonga...
 
Hivi AnayeJINYONGA NA KUJIPIGA RISASI Nani Anajiua Kikatili?

anaejisambaratisha ubongo kwa risasi ni dakika tu anarudisha namba ila anaejinyonga mpaka avute hisia afunge kamba aingie kwa kitanzi,kianze kumakaba mpaka anakata roho aiseeeee
 
hahahahaha lol hawawazagi mara mbili

Kweli aisee hawawazagi Mara mbili mbili, Kuna kipindi serikali ilishauriwa kupiga marufuku uuzaji wa kamba naona zote kule Iringa, hata viatu ilitakiwa viuzwe vile vya mchomeko... Huyu akikuta akikuta hicho kibanda cha kuuza kitimoto kimefungwa usishangae JF tunampoteza member mwenzetu
 
hahahaa ila gfsonwin hawezi kujirestisha bhana
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahha........................
weee umesahu kuna kijiwe kipya kimefunguliwa njia ya kushuka kwa mkuu wa mkoa kizuri jee sasa??
skumbuki tu jina ila kesho mchana ntakuwa apo lol!!

Si Kale Kahotel Ama
 
af inaelekea BIGURUBE ananiombe kifo kweli kweli
mwambie iviii miaka 800 iyo roho ishindwe, maisha matam namna hii eboooo
ama kesha mtaftia hubby wangu kamchuchuuu nini??

hahahahahhaa meona eeeh wahehe hawawazagi hayo maisha yalivyo matam BIGURUBE ukuje ujieleze mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom