Familia ya Mo Dewji: Hatujapata taarifa yoyote ya kutia matumaini juu ya kupatikana Mo

Maajabu kabisa....watekaji hawahitaji lolote wala chochote.....BAshite utaishi wapi wewe...baada awamu hii kupita?? muda mwalimu mzuri sana
 
Possibly huyo dereva alisetiwa ili kuandaa mazingira ya kuwahadaa watu. Huyo dereva ni wa kwao bila shaka
 
Hivi hiyo hoteli haina walinzi kabisa.
Mtu anachukuliwa ndani wao wapo kimya tu.
Na humo jim MO alikuwa peke yake.
Wanamazoezi wenzake waliona nini ?
Walichukua hatua gani ?
Hiyo jim hoteli haina cctv camera ?
Hivi alikuwa peke yake kwenye jim na hotelini ?
N
Inaonekana kama sinema lililoandaliwa vile ?
 
Back
Top Bottom