Familia ya Hamza ni ya kulaumiwa siyo kuchekewa

Ndio maana igp katukumbusha wazazi kuhusu malezi

Sirro atakua na taarifa nyingi kuhusu makuzi ya hamza....

Na aliongea aliyongea yawafikie baba na mama hamza wengine na ma-hamza wao

Kulea hakuna ufundi ila linapokuja swala la kutumia silaha kwa kiwango cha hamza maswali kuhusu historia ya makuzi yake yapo mengi
Iko hivi,mtu akishakuwa mtu mzima hujiamulia kuishi maisha yake atakayo wewe mzazi huna uwezo wa kumnyoosha kwa sababu anapita sehemu nyingi ambazo wewe huwezi kuzijua zote unakuja kushtuka siku akishafanya tukio.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Unakijua wanachokijua familia ya hamza kuhusu hamza tangu utotoni?
Unajua anachokijua igp kuhusu makuzi ya hamza na kilichopelekea kufanya aliyofanya?

Kama hujui nenda kapate maelezo urudi tena
 
Ndio maana igp katukumbusha wazazi kuhusu malezi

Sirro atakua na taarifa nyingi kuhusu makuzi ya hamza....

Na aliongea aliyongea yawafikie baba na mama hamza wengine na ma-hamza wao

Kulea hakuna ufundi ila linapokuja swala la kutumia silaha kwa kiwango cha hamza maswali kuhusu historia ya makuzi yake yapo mengi
Pamoja na hayo makuzi yake lkn bado akapewa uongozi ndani ya CCM mpk akawajengea na ofisi ya chama.
 
Unakijua wanachokijua familia ya hamza kuhusu hamza tangu utotoni?
Unajua anachokijua igp kuhusu makuzi ya hamza na kilichopelekea kufanya aliyofanya?

Kama hujui nenda kapate maelezo urudi tena
Hata usiseme hivyo. Kuna watoto wameshindikana kwa wazazi mpaka mzazi anasema litakalompata shauri zake.
Tena wale wazaz strict sana ndio wanapigwaga matukio na watoto wao mpaka watu wanashangaaa mzee yule na ukali wake mtoto wake mbona yuko hivi. Hakuna mzazi anayetamani mtoto wake aende njia mbovu.
 
Hakuna anayekataa kwamba kuna watoto wanaoshindikanika

Hakuna anayewalaumu wazazi kwa mtoto kushindikanika

Hakuna mzazi fundi wa kulea kiasi cha kusema yeye watoto wake wamekua wema sababu ya ubingwa wake

Ila unapokua wazazi na familia hata jamii inamjua mtoto au mwanajamii na tabia zake kuna vitu inaweza kuzuia kupunguza madhara... wewe na familia mshaona mtoto ana shida hamuwezi nyamaza huku mkijua anamiliki silaha ambayo anaweza kuitumia popote. Umiliki wa hiyo silaha haukua siri
 
Mzuka wanajamvi!

Hii Familia ya Hayati Hamza siyo ya kuchekewa chekewa ni ya kulaamiwa kabisa.

Yani hadi napoandika huu uzi hawajaweka mchakato ni jinsi gani tutawapa rambirambi. Yani wakowako tu. Tunawaomba na kuwasihi waweke utaratibu ama namba Mpesa, tigopesa ama airtel money ili rambirambi ziwafikie njia yoyote ile.

Ikifika kesho hawajafanya hivyo tutawepelekea hizi rambirambi kwa lazima na nguvu.
Unabahati nilikua nikutukane bonge la tusi kabla ya kusoma..,🤓🤓
 
Daah kweli wabongo wamechoka wamefikia kiwango cha juu na cha mwisho kwenye uvumilivu kitendo cha Raia wengi kushangilia haya matukio Serikali inatakiwa ijitathmini sana kupitia wawakilishi wao na wenyewe kuondoa Tozo za hovyo hovyo...
 
Ndio maana igp katukumbusha wazazi kuhusu malezi

Sirro atakua na taarifa nyingi kuhusu makuzi ya hamza....

Na aliongea aliyongea yawafikie baba na mama hamza wengine na ma-hamza wao

Kulea hakuna ufundi ila linapokuja swala la kutumia silaha kwa kiwango cha hamza maswali kuhusu historia ya makuzi yake yapo mengi
Yeye mwenye malezi bora mbona alitudanganya kuhusu ile picha ya cctv kuhusu watekaji wa Mo.
 
Nchi hii ina bahati mbaya. Imagine hawa ndio Diaspora eti type za kina Mange Kimambi
 
Hakuna anayekataa kwamba kuna watoto wanaoshindikanika

Hakuna anayewalaumu wazazi kwa mtoto kushindikanika

Hakuna mzazi fundi wa kulea kiasi cha kusema yeye watoto wake wamekua wema sababu ya ubingwa wake

Ila unapokua wazazi na familia hata jamii inamjua mtoto au mwanajamii na tabia zake kuna vitu inaweza kuzuia kupunguza madhara... wewe na familia mshaona mtoto ana shida hamuwezi nyamaza huku mkijua anamiliki silaha ambayo anaweza kuitumia popote. Umiliki wa hiyo silaha haukua siri
Wewe unafahamu vizuri saikolojia za binadamu?
Iko hivi binadamu yeyote anaweza kugeuka dakika yoyote ile na kupata ujasiri au roho ya kinyama kutokana na mazingira au matukio fulani.
Ni sawasawa mtu amemfumania mkewe ghafla akachukua silaha na kumuua mgoni wake huwezi kusema wazazi wake hawakuwa makini katika malezi ndio maana ameua

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Kichwa cha habari hakiendani na yaliyo ndani!
Kuandika kwenyewe hujui!
Unaonekana kichwani ni mtupu san!
Hela ya maandani japo ya mtaani kwako ni shida!
Kenge kweli wewe!
 
Ndio maana igp katukumbusha wazazi kuhusu malezi

Sirro atakua na taarifa nyingi kuhusu makuzi ya hamza

Na aliongea aliyongea yawafikie baba na mama hamza wengine na ma-hamza wao

Kulea hakuna ufundi ila linapokuja swala la kutumia silaha kwa kiwango cha hamza maswali kuhusu historia ya makuzi yake yapo mengi
Hamza alikuwa mfanyabiashara wa madini, hivyo sio ajabu kumiliki silaha na kujua namna ya kutumia for self defense
 
Unakijua wanachokijua familia ya hamza kuhusu hamza tangu utotoni?
Unajua anachokijua igp kuhusu makuzi ya hamza na kilichopelekea kufanya aliyofanya?

Kama hujui nenda kapate maelezo urudi tena
Kisa ameua askari ndo amekuwa na malezi mabaya, it's big No
Yawezekana alikuwa na visasi na hao askari katika harakati zao za utafutaji

Hamza kama kweli na angeamua kufa na wengi angeweza kuvaa Bomu kubwa katika ya watu wengi na angekufa na wengi na ndio maana amewaacha raia na kuwafuata askari
 
Wewe unafahamu vizuri saikolojia za binadamu?
Iko hivi binadamu yeyote anaweza kugeuka dakika yoyote ile na kupata ujasiri au roho ya kinyama kutokana na mazingira au matukio fulani.
Ni sawasawa mtu amemfumania mkewe ghafla akachukua silaha na kumuua mgoni wake huwezi kusema wazazi wake hawakuwa makini katika malezi ndio maana ameua

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Hakuna anayekataa kwamba kuna watoto wanaoshindikanika

Hakuna anayewalaumu wazazi kwa mtoto kushindikanika

Hakuna mzazi fundi wa kulea kiasi cha kusema yeye watoto wake wamekua wema sababu ya ubingwa wake

Ila unapokua wazazi na familia hata jamii inamjua mtoto au mwanajamii na tabia zake kuna vitu inaweza kuzuia kupunguza madhara... wewe na familia mshaona mtoto ana shida hamuwezi nyamaza huku mkijua anamiliki silaha ambayo anaweza kuitumia popote. Umiliki wa hiyo silaha haukua siri
 
Namba wametoa hii 0746267998 jina chaula agnes.inadaiwa ni ndugu yao ndo anapokea ila hipatikani muda wote.
Mimi nilituma ten ilipopita masaa sita nikalokea sms ya shukrani
 
Back
Top Bottom