Familia ya baba mama na watoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Familia ya baba mama na watoto

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Haika, Oct 16, 2012.

 1. H

  Haika JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Eti kwa kuwa wewe umekua na umeshajitambua, unadhani kuna faida muhimu ya kulelewa au kulea jamii katika familia ya kizamani baba mama watoto na jamaa?
  nikimaanisha kuacha kulea wazee wetu
  kuzaa na kulea watoto bila mke au mume?
  hapa nazungumzia kufanya hivyo kwa maamuzi ya hiari, na sio kwa kulazimishwa na maisha kama kifo, umasikini nk
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  hiari hata familia bila watoto poa tu

  but wazazi huwezi kusema 'watajiju'

  hiari ipo kama wazazi wana uwezo
   
 3. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Kimsingi ni uamuzi wa mtu,ila saidia wanaostahili kusaidiwa na si kila mtu.wengine wafundishe nao wajitambue kama ambavyo wewe umejitambua.Kulea wazazi ni jukumu la kawaida.
   
Loading...