Familia Kama Hii

Hbr Zenu Jf.Mfano Mmegombana Kidogo Na Wife Mara Huyo Kwao Anawambia Mama Yake,baba Yake,makaka,madada,wajomba Halafu Wote Wanakujia Juu Unabaki Mdogo Kama Paka Aliyefumaniwa Akinywa Milk.Wewe Utafanyaje?
kuna mwenzio yy alikuwa na mke 1 akamua kuongeza wapili akaanza mnyanyasa bimkubwa siku anataka kukimbia bimdogo akamsema kwa mmewe akapata kipondo haswa, siku nyingine katoroka karudi kwao baada ya siku 2 dume likamfuata kufika kwao msosi wanguvu ukaandaliwa ile kunawishwa na kula tonge moja viboko vilishushwa na shemeji zake dume la watu liliamuliwa na mjumbe.
 
Hbr Zenu Jf.Mfano Mmegombana Kidogo Na Wife Mara Huyo Kwao Anawambia Mama Yake,baba Yake,makaka,madada,wajomba Halafu Wote Wanakujia Juu Unabaki Mdogo Kama Paka Aliyefumaniwa Akinywa Milk.Wewe Utafanyaje?
Ugonvi Wa mpaka mkeo anaenda kwao sio Mdogo, otherwise ww uko dhaifu sana,
You are dominated by your wife's family,
Usikute unaish nyumba ya baba mkwe au unalipiwa hadi kodi nyumba!
Unga ,mboga unasaidiwa kila baada ya mwez
Unakaa na mtoto Wa watu mahali hujatoa, au kumalizia
Watoto wako yupo kwao anakula na kulala, na unasomeshewa
Sendoff wamemfanyia mwanao, Ila ww hata party imekushinda
Umekalia ulevi na uzinzi hauna nyuma wala mbele sasa kwa nn ndugu zake wasikuijie juu kuhusu mtoto wao!
Au unadhani ajilete dunia? Badilika ndugu
 
Back
Top Bottom