je unaishi kwako, kwenu au ukwenu?
kama jibu ni kwako au kwenu unapaswa kuwa na msimamo mkali sana zaidi ya watalbani!!
wakikuita waambie uko bize na mambo yako, wapangie wao tarehe ya kuongea hata wiki mbili mbele ya walivyopanga wao. bora wakuite kiburi kuliko kuwa mtiifu kama ngamia.
wakikupigia simu wapokee, wakikuwakia waambie wanakiuka sheria ya tcra na ukate simu.
hata kama uliyemuoa ni "jesca" unapaswa uwe na misimamo kama ya dingi wake.
tena, usiwe mnyonge sana, ukizinguana nae mkaushie tu na akisepa atajirudisha mwenyewe. usimfuate fuate.
angalizo: usimpige usimpige usimpige.
kama unaishi kwao au anakufuga unapaswa umtii na kumsikiliza, akizingua unaomba msamaha mwenyewe.
kama ni wakishua sana na wewe ni maisha plus chakufanya anza kujitambua