kadagala1 JF-Expert Member Nov 23, 2016 5,977 6,271 Feb 9, 2017 #1 Naona famasi za huku kwetu hawaandiki tena duka la madawa eti wanaandika duka la mtu anaeumwa. makonda bwana
Naona famasi za huku kwetu hawaandiki tena duka la madawa eti wanaandika duka la mtu anaeumwa. makonda bwana
OMOYOGWANE JF-Expert Member Dec 30, 2016 4,472 11,367 Feb 9, 2017 #3 Uchochezi hauruhusiwi shauri yako