Falsafa ya CHADEMA ni hii, ya CCM iko wapi?

kuna magonjwa yanaweza kutibika laana haina dawa na huu nu ugonjwa wa wanccm na viongozi wao wamewadhurumu watz wengi sasa laana inawasumbua kama wewe
 
Unajua ni kwanini siku zote unaandika habari za CHADEMA? ni kwasababu ndio threat kwa chama chako. vinginevyo usingekijali kama usivyo vijali vyama kama TLP,NCCR, UDP,MCCC nk.nijuavyo mimi hiki kinakunyima usingizi na raha kwa ujumla.
 

Cdhani kama unafikiria mambo kwa undani
 
ritz,huna jipya,thread mbovu umekopi na kupesti kutoka kwa prince bagenda ametoa makala kwenye gazeti la rai juma lilopita,acha ujing........mkuu,unajishushia heshima kidogo uliyonayo.
 
Mfa maji haachi kutapatapa. Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Falsafa Za chadema Hazina tija
 
Nimemsikia Nape Akiongea Star TV, Kuhusu uchaguzi wa CCM, Swali watawachagua wajamaa au Mabepari? Wakulima na wafanyakazi (Maofisa waandamizi) wanaruhusiwa kugombea? (Nyundo na Jembe)
 
Mm naamini kabisa, Haiwezekani kusema unaipenda Tanzania halafu unaipenda CCM.
 
Wanayokwani? Hatazile nyerere alizowaachia hawazijui.wanazisoma hawazielewi.
 
Mkuu Ritz....Wewe naona Unataka watu wapost tu kwenye uzi wako usiokuwa na kichwa wala miguu..Haya Nimeshapost..Umefurahi eeh!!!!
 
Naona unataka kujivunjia heshima yako humu Jamvini tofautisha sera na falsafa...Chadema sera zao ni za kibepari na ndio maana mfadhili wake mkuu wa nje ni chama cha Conservative cha Uingereza ambacho ni cha mapepari.
Kwenye Red hapo....KWA HIYO KILICHOKUUMA HAPO NI NINI HASA!!!
 
Wanabodi,

Wananchi wanataka kujua ni nini hasa sera na itikadi inayosimamiwa na Chadema mlianza na falsafa ya oparesheni sangara katika kile.

Kwani wewe unawakilisha wananchi gani? Au maeneo gani? Kama ukitaka kujuwa jambo uliza au hoji kwa niaba yako. Na kama wewe ni kiongozi unawakilisha kundi,chama au eneo fulani ni vyema ukataja eneo lenyewe ili tujue unawakilisha.

Cha pili. Je unajua maana ya falsafa na operesheni na tofauti ya maneno hayo? Vua gamba vaa gwanda ni falsafa kweli? Na M4C ni falsafa. Ni vyema ukaushughulisha ubongo wako kidogo. Ungefanya hivyo wala usingeandika hii thread. Halafu kama unaandika thread iweke vizuri ili tukisoma tuweze kupata kitu. Lenga kitu kimoja kwa wakati" Insure focus on your topic is maintain at all time" Sasa kama hata tofauti kati ya operation na falsafa inakuwa tabu sasa unalenga bongo zetu zirutubike vipi. Maana kuandika thread hata mbwa anaweza kuandika,ila sisi binadamu tukiamua kuandika tunaandika kitu chenye mantiki na ambacho mtu mwingine akisoma anasema naamu!
 
Mkuu hii imekaa kiuana harakati tu bila kuwa na fununu na kule watanzania tunakotakiwa tuende.

Sana sana hii ni agitation propaganda isiyoeleza chakula na mikakati yake , kuondoa umsikini, kutengeneza ajira na uchumi kwa ujumla.
 
Mkuu hii imekaa kiuana harakati tu bila kuwa na fununu na kule watanzania tunakotakiwa tuende.

Sana sana hii ni agitation propaganda isiyoeleza chakula na mikakati yake , kuondoa umsikini, kutengeneza ajira na uchumi kwa ujumla.
Harakati ndio nini, au unatumia maneno bila kujua kiswahili vizuri. Harakati ni kosa?
 
Acha ubabaishaji tuelimishe juu ya falsafa ya CCM
Achana na huyu Nduka, hajui CCM anafikiri bado ni CCM ya Nyerere ya ujamaa na kujitegemea, ya wakulima na wafanyakazi. Hii ni ya mafisadi. Mungu ampe akili, ajitambue. Kwanza hajui wafanyakazi hawaruhusiwi hata kugombea ubunge mpaka waache kazi.
 
Harakati ndio nini, au unatumia maneno bila kujua kiswahili vizuri. Harakati ni kosa?
Harakati za CDM sana sana ni kuwabeba vijeba vya CDM ili waonekane wanafanya kaziakati ni pamoja na maandamano na migomo inayoshabikiwa sana a wapambe wa CDM.
Sioni jinsi unvyoweza kuendeleza nchi kwa kugoma.
Hata hivyo kwa info yako wewe unawezakuwa canon fodder wa kuwawezesha watu kupata ulaji tu bila kujijua.
 
Sina akili za kitoto kama unavyofikiri, kabla ya kufanya jambo unatakiwa kufanya upembuzi yakinifu, sio kufuata mdundiko na kuacha mboga inaungua. Fikiria watoto wako na wajukuu wako, acha ubinafsi. Utalia uzeeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…