Falling in Love with Faces.....

Falling in Love with Faces.....

View attachment 490811
There goes 'our' kasie

Sema umemsahau quickrocka [HASHTAG]#switcherbabaa[/HASHTAG]. . .,he's kinda cute too[emoji12]

And I love him...... baada ya kuiona hii picha yake.... akili yangu ikaanza kuwaza jinsi ntavokuwa nakula denda........ daaah acha tuu.....

Sijui kama humu duniani kuna mtu anafaidi au anapata utamu kama nnaopata mie nikiwa nakula denda...... hadi ute umentoka hahahahahaaa crazy Kasie looh.
 
Yaani nikirudi nawanyea ili wanirudishe tena

Duuh polee, ila saa ingine wapotezee bifu ambazo hazikuingizii hela hazina mashikoo.
Poa take care.
 
ama kweli nilikumiss kessy.... thats not fair kughibu muda wote huo !!!
blessings

Zaamiiiii how i missed you jamani.....
Naona wewe ulinimiss zaidi hadi umenibatiza jina na kuniita Kessy badala ya Kasie.. .. hehehehe

Thanks for the blessings, nilipotea humu kwa kitambo kutokana na majukumu ya project fulani niliyokuwa naifanyia kazi. Sasa imeisha na zimebaki project ndogondogo. Am back mdogo mdogo.....

Have a good day..
 
You're not alone kasie.
(.....) don't wanna be left behind by this falling game.

Look this bid bum things. in tz we call it FROG(CHURA)

05431e929772658abd3581b7f4a3ec99.jpg
bf959a580530810f4ad8c09abb2e6bff.jpg
ET FROG
 
Mie napenda kama hzi hapa
 

Attachments

  • ajii.jpg
    ajii.jpg
    8.7 KB · Views: 25
Zaamiiiii how i missed you jamani.....
Naona wewe ulinimiss zaidi hadi umenibatiza jina na kunitoa Messy badala ya Kasie.. .. hehehehe

Thanks for the blessings, nilipotea humu kwa kitambo kutokana na majukumu ya project fulani niliyokuwa naifanyia kazi. Sasa imeisha na zimebaki project ndogondogo. Am back mdogo mdogo.....

Have a good day..
Kweli mpendwa wa Jamhuri ya muungano wetu.. ungelichelewa kidogo tu... kisomo cha hetima kingekuhusu ... lakini twashukuru upo well and energetic Lady!!
 
Duuh polee, ila saa ingine wapotezee bifu ambazo hazikuingizii hela hazina mashikoo.
Poa take care.
Sijamtukana mtu, nashangaa ban.
Anyway your advice has been considered.
Thanks and take care too
 
Sijamtukana mtu, nashangaa ban.
Anyway your advice has been considered.
Thanks and take care too

Yeah peace and harmony...
Hata vitabu vya Mungu vimetuagiza, tafuteni kuwa na amani na watu wote... thanks for accepting the advice.
 
Hahahahaha kipendacho mamaaaa, huyo nikimuona tu roho yangu kwatuuu

Hahahahaa haya bwana, dunia huru hii..... maadam roho kwatuu basi kula raha mamaa
 
And I love him...... baada ya kuiona hii picha yake.... akili yangu ikaanza kuwaza jinsi ntavokuwa nakula denda........ daaah acha tuu.....

Sijui kama humu duniani kuna mtu anafaidi au anapata utamu kama nnaopata mie nikiwa nakula denda...... hadi ute umentoka hahahahahaaa crazy Kasie looh.
[emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom