donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Rais Magufuli, kijazi, DAC Mara, anaye apa Ni Mtwa Mwamahiganamjua raisi tu hapo, ntajie hao wengine
kirefu cha DACRais Magufuli, kijazi, DAC Mara, anaye apa Ni Mtwa Mwamahiga
Deputy Assistant Commissionerkirefu cha DAC
kirefu cha DAC
Not DAC but DAS- District Administrative Secretary! Katibu Tawala Wilaya! However, wakati wa kifo chake huyo jamaa, Jeswald Majuva alikuwa Katibu Tawala Msaidizi- HR. Na pia alipata kuwa First Secretary, Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia, na pia Msaidizi wa Rais.Deputy Assistant Commissioner
Ahsante mkuuNot DAC but DAS- District Administrative Secretary! Katibu Tawala Wilaya! However, wakati wa kifo chake huyo jamaa, Jeswald Majuva alikuwa Katibu Tawala Msaidizi- HR. Na pia alipata kuwa First Secretary, Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia, ndo maana hapo yupo na akina Mahiga!