Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,696 Reaction score 15,984 Feb 16, 2024 #1 kuna nyuzi nyingi za hii battle, binafsi sikuona mshindi kwa maana niliwaona wako 50/50. nikajipa muda kusikiliza ngoma zote kali za hawa viumbe, nikaja kubaini Fali ni mkali. goli la ushindi la Fali Ipupa ni nyimbo ya MAYDAY.👈 Hii nyimbo imefunika nyimbo zote za Ferre Gola na za kwake mwenyewe Fali Ipupa. Respect kwake Fali.
kuna nyuzi nyingi za hii battle, binafsi sikuona mshindi kwa maana niliwaona wako 50/50. nikajipa muda kusikiliza ngoma zote kali za hawa viumbe, nikaja kubaini Fali ni mkali. goli la ushindi la Fali Ipupa ni nyimbo ya MAYDAY.👈 Hii nyimbo imefunika nyimbo zote za Ferre Gola na za kwake mwenyewe Fali Ipupa. Respect kwake Fali.
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 33,219 Reaction score 83,154 Feb 17, 2024 #2 Asanteni kwa kunisikiliza Tokoss
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,617 Reaction score 16,414 Feb 17, 2024 #3 Iweke hapa Acha uchoyo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,175 Reaction score 196,917 Feb 17, 2024 #4 Wote wanajitahidi... Cc: Mahondaw
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,696 Reaction score 15,984 Feb 19, 2024 Thread starter #5 MAWEED said: Iweke hapa Acha uchoyo Click to expand... nimejaribu kuipandisha hapa ila inazingua. ingia Youtube,boomplay n,k. Fali Ipupa"mayday",,Papaa Adolf Muteba Thsilamwina.
MAWEED said: Iweke hapa Acha uchoyo Click to expand... nimejaribu kuipandisha hapa ila inazingua. ingia Youtube,boomplay n,k. Fali Ipupa"mayday",,Papaa Adolf Muteba Thsilamwina.
MrConveter JF-Expert Member Joined Jul 4, 2017 Posts 1,291 Reaction score 2,370 Feb 19, 2024 #6 Mayday ni kali ila haifuniki Vita Imana yake Ferre Gola Le Padre. Kufahamu nani mkali zaidi kati yao naona mchuano bado ni mkali japo Ferre is clear kwa upande wa Rhumba.
Mayday ni kali ila haifuniki Vita Imana yake Ferre Gola Le Padre. Kufahamu nani mkali zaidi kati yao naona mchuano bado ni mkali japo Ferre is clear kwa upande wa Rhumba.
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,696 Reaction score 15,984 Feb 19, 2024 Thread starter #7 MrConveter said: Mayday ni kali ila haifuniki Vita Imana yake Ferre Gola Le Padre. Kufahamu nani mkali zaidi kati yao naona mchuano bado ni mkali japo Ferre is clear kwa upande wa Rhumba. Click to expand... Fere alizidi kuniumiza kichwa pale kwa Tshaulila pazyaa"mokili makambo"👈iyo ngoma nayo matata sana.
MrConveter said: Mayday ni kali ila haifuniki Vita Imana yake Ferre Gola Le Padre. Kufahamu nani mkali zaidi kati yao naona mchuano bado ni mkali japo Ferre is clear kwa upande wa Rhumba. Click to expand... Fere alizidi kuniumiza kichwa pale kwa Tshaulila pazyaa"mokili makambo"👈iyo ngoma nayo matata sana.
Peril22 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,859 Reaction score 3,223 Feb 19, 2024 #8 Mayday nilitumiwa na mdada mmoja hivi ikanifanya nimpende bure.