Fake ORGASM

..........Hivyo inakuwaje mtu ana fake orgasm? Mbona mie naona ni kitu ambacho hakiwezekani na wala siwezi.Kwenye ile wala sikubali kumaliza bila kufika huko lol.
 
..........Hivyo inakuwaje mtu ana fake orgasm? Mbona mie naona ni kitu ambacho hakiwezekani na wala siwezi.Kwenye ile wala sikubali kumaliza bila kufika huko lol.

Mumeo au bwana yako akimwaga mapema kabla yako, unafanyaje mpaka ufike huko kama usemavyo? Unamalizia kwa kidole!!?? Au unakuwa kocha kwenye foreplay - unatoa maelekezo na kufanya gemu lichelewe kidogo?
 
Kwanini wanawake wanadanganya?
Kwanini wasiseme kweli kuwa tumewaacha njia panda ili tujue ni namna gani tuwasaidie wafike kileleni?
1.Inatakiwa wewe mwanamme ujue kuwa mwenzako kafika au la.
2.Kumuuliza swali kama je tayari au tuendelee HAIPENDEZI usitegemee kupatajibu la ukweli sana sana atakujibu mi BASI, na yaonyesha hujui au huna uhakika wa ulichokuwa ukitenda ndio maana unaulizauliza.Soma alama za nyakati.Anataka nini,hataki nini,kinafuata nini.
3.Anaweza akapiga kelele ili kukuibia.Ili ujue anafurahia mechi,kumbe moyoni anaomba iishe.
4.ni kazi yako kugundua hii ni fake au si fake.
5.Kwa nini umwache njia panda?KOSA KUBWA SANA.je wewe ukiachwa njia panda utakubali?
6.Hawawezi kusema ukweli kwa vile wanadhani wewe nguvu zako na uwezo wako ndo umeishia hapo sasa adai nini zaidi?
7.Wanadhani kuwa wakieleza kuwa wao bado huenda mwanamme utahisi msichana hakupendi,kazi yote hii uliofanya yeye huyu msichana bado tu na..........
 

Alaa kumbeeeeeeee!!!!:target:
 
smu! natoa mwito kwako na kwa wanawake humu ndani; mi sioni soo kusema sijui! Nifundisheni bana!

I believe una somo la kutufunza;

tielezeeeeeee
SAMAHANI,wakufundishe kwa nadharia au kwa vitendo?
 
km humtumii vimsg vya mapenzi,humuandai vya kutosha,ukija tu unampramia mwenzio unategemea nini???tit for tat niparamie ila usikeshe!ukimaliza tu shuka! ala!....:target:
 
yeah; kuna kitu kama mtu kupatwa na orgasm kabla hata jongoo hajazama mtungini ; baada ya mwendo wa dk kadhaa unashtukizwa na swali mbona humalizi? eti yeye alimaliza kabla ya wewe kuanza? Nishaaambiwa sana enzi hizo!

Hahaa, umenikumbusha enzi zetu chuoni kabla hatujaolewa. Hii ilikuwa ni strategy nzuri sana kama unasex na mtu usiyempenda lakini unahitaji hela yake kujazilizia BOOM. Unaenda naye halafu baada ya dakika kama mbili unamuuliza HUMALIZI? MI TAYARI. Basi jamaa anajiharakisha faster, halafu we huyo mbio kwa boyfriend wako kumalizia orgasm ya kweli. Rafiki yangu Doreen alikuwa anaiita starter.
 
..........Hivyo inakuwaje mtu ana fake orgasm? Mbona mie naona ni kitu ambacho hakiwezekani na wala siwezi.Kwenye ile wala sikubali kumaliza bila kufika huko lol.

mhh dada Pretty bahati yako hujawahi kukumbana na mwanaume asiye na mvuto kitandani. Unaweza kukuta mwanaume mtaani so handsome ukifika kwenye kitanda uanaume wake ni kama wa mtoto wa form 2 tena hapo yuko maximum. Kwa kuwa ushayavulia nguo cha kufanya ni kuleta movie tu kwa kupiga fake orgasm uondokane na karaha.
 

Duh, kwa mwendo huu bodi ya mikopo inabidi ifanye kazi ya ziada...la sivyo kuna watu wengi wataangamia!
 
vipi na wewe unataka kuniparamia nini?

No...mimi 'siku hizi' siparamii tena...nimeshakuwa 'mweledi':glasses-nerdy:! I can almost guarantee you maximum satisfaction:bounce:!
 


Na moto wa milele uwaangazie mchomeke kwa hasira! Yaani mnakuwa waktili wa mioyo namna hii!:angry::angry::angry:
 
Caren, hivi ukipata starter ni lazima main course afuatie siku hiyo hiyo au unaweza kula main course kama kiporo ( Shule ya JF kiboko, ingekuwa na mitihani, mhh zile supplimentary za hesabu sitaki kuzikumbuka!)
 
Mhh, am a lady, nimeipenda hiyo, nipe number yako nikutafute unipe somo zaidi. Seems you great on this man!!!
 
Mhh, am a lady, nimeipenda hiyo, nipe number yako nikutafute unipe somo zaidi. Seems you great on this man!!!

We monie wewe he.............unataka kuanzisha balaa; kwa hujawa specific nani hasa unamdirect hii kitu wasji waka-kolimbana humu bure!
 
Ofcourse it was directed to Mwanamayu but just for advice ONLY no more am engaged!!
 
Umalaya mtupu. Yaani hii watu wanaita changuduo class A. Kama ulikuwa hujui we pia ni changu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…