Fake election

Fake election

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,769
Reaction score
288,283
Rwanda+pic.jpg
 
Hahahaha ....mkuu nipo hapa napiga primus nawaangalia wanyarwanda wanavyo shangilia.

MAPATANO NCHI KAVU BAHARINI NI KUVUA TU
 
Nina marafiki zangu wanyarwanda huwaambii kitu kwa Kagame, lakini mie nawapa za uso kwamba jamaa anaua wapinzani na pia kuua upinzani ili atawale milele. Huyu nina wasi wasi anaweza kuwa kama Mugabe au Museveni na kuishia kukaa madarakani kwa miongo mitatu au hata zaidi kama afya yake inaruhusu.

nimesikia jion kuwa ana vipindi vingine vi3 kufuatia katiba yao!nikchoka! lakini kwan kun tofauti sn na hapa kwani!?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hakuna aisee ndiyo yale yale ya fake election zinatumika billions chungu nzima wakati matokeo yanajulikana wazi. Nilifurahia sana uchaguzi wa Ghana upinzani kushinda na kupewa nchi bila kumwaga damu. Sijui kama hili litakuja kutokea hapa kwetu.

NEVER
 
Kwahiyo upinzani ukishinda ndio uchaguzi unakuwa halali na sivinginevyo?
 
Around the world, there's no free and fair election, unless otherwise where we are voting for a single party system.
 
Kwenye ule uchaguzi fake mshindi kashinda kwa kishindo.
 
Nina marafiki zangu wanyarwanda huwaambii kitu kwa Kagame, lakini mie nawapa za uso kwamba jamaa anaua wapinzani na pia kuua upinzani ili atawale milele. Huyu nina wasi wasi anaweza kuwa kama Mugabe au Museveni na kuishia kukaa madarakani kwa miongo mitatu au hata zaidi kama afya yake inaruhusu.

Tuendako hata hapa kwa nyumba yanaweza tokea haya! Maana hata Wahenga walisema 'Dalili ya Mvua ni Mawingu'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom