Fake Apple Store spotted in China!!

Fake Apple Store spotted in China!!

Given Edward

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
850
Reaction score
203
Source: E.A COMBINED • View topic - Fake Apple Store spotted in China

Fake Apple Store spotted in China

Fake Apple Store with fаke Apple products wаs spоtted in China. Inside it lооks like а genuine Apple store but it's not. Bу thе wаy, Applе nеvеr writes “Apple Store” оn it’s signs – it just puts up thе glowing, icоnic fruit.

fake_02.jpg



More pictures and info
 
Tz ipo pale nanilia pale... Nimesahau waulizeni Mtazamaji na RedSilverDog. Au tz hatujachakachua Sharobaro?
 
Kwani ms wamekuwa faked mara ngapi?
MS hawana maduka inje ya US kama sikosei na product yao ni software na mapato yao zaidi wanapata kwenye leseni wanazolipwa kwa makampuni kama toshiba na hp wanapotengeneza computer na kuweka MS windos vista au w7
 
Kwanza hivi mtu unafake Apple ya nini na jinsi walivyoshusha bei? Anyway wachina wanataka everything, their way.
 
Kwanza hivi mtu unafake Apple ya nini na jinsi walivyoshusha bei? Anyway wachina wanataka everything, their way.

Mkuu usiulize hvyo! Those chinese wameinvest pakubwa tu katika kufake hzo apple, sasa wewe usibeze kufake apple products kana vile hailipi! Kuna wa2 kibao ambao hawawezi kuafford genuine apple products, na wanapenda kuonekana "kisharobalo" na laptop ama simu yenye nembo ya "epo"! lolz
 
Back
Top Bottom