Inakuhusu nini wake za wenzio, ebu lete hoja za maana.Imekua kawaida ya mastaa wa kike ulimwengu kupiga picha za nusu uchi wakiwa wajawazito na kuonyesha matumbo yao wazi, style hii imejizoelea umaarufu sana hata kwa baadhi ya mastaa nchini Africa wamekua wakiiga mtindo huo.
Sasa hivi imekua zamu ya mwanamama aliyejipatia umaarufu baada ya kuzaa na mwanamuziki ambaye pia ni mbunge, mh sugu aitwaye faiza ally ,mwana mama huyo amejizoelea umaarufu kutokana na life style yake ya kukaa uchi bila kujali yeyote. Hata hivyo staa huyo ameibuka na picha tata akionyesha ujauzito wake wa sasa huku akifuraia ujio wa mtoto huyo mtarajiwa, pozi mnalionaje?? Kakosea au kapatia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuja mbio mbio nikijua ni FAIZA FOX,
Kumbe nilikosea kusoma title vizuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]NDIO HUYO HUJAKOSEA[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Si alisema mwenyewe walitongozana fbHa ha ha ha
Itakuwa kweli kabisa mkuu kwa aina hii mshenga ni Facebook
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuja mbio mbio nikijua ni FAIZA FOX,
Kumbe nilikosea kusoma title vizuri.
Na hako katoto kanachobusu hilo tumbo si cha Sugu? Sugu was right kumnyang'anya huyu idiot mtotoImekua kawaida ya mastaa wa kike ulimwengu kupiga picha za nusu uchi wakiwa wajawazito na kuonyesha matumbo yao wazi, style hii imejizoelea umaarufu sana hata kwa baadhi ya mastaa nchini Africa wamekua wakiiga mtindo huo.
Sasa hivi imekua zamu ya mwanamama aliyejipatia umaarufu baada ya kuzaa na mwanamuziki ambaye pia ni mbunge, mh sugu aitwaye faiza ally ,mwana mama huyo amejizoelea umaarufu kutokana na life style yake ya kukaa uchi bila kujali yeyote. Hata hivyo staa huyo ameibuka na picha tata akionyesha ujauzito wake wa sasa huku akifuraia ujio wa mtoto huyo mtarajiwa, pozi mnalionaje?? Kakosea au kapatia?
Kwa Beyonce umeenda mbali wapo wapuuzi wengine, halafu wapo wapuuzi wenzao wanawaita MA role model zaoImekua kawaida ya mastaa wa kike ulimwengu kupiga picha za nusu uchi wakiwa wajawazito na kuonyesha matumbo yao wazi, style hii imejizoelea umaarufu sana hata kwa baadhi ya mastaa nchini Africa wamekua wakiiga mtindo huo.