Do you really want to see faiza fox naked like this shit here??[emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuja mbio mbio nikijua ni FAIZA FOX,
Kumbe nilikosea kusoma title vizuri.
Hapana ,Do you really want to see faiza fox naked like this shit here??[emoji1]
Mama na mwana wote wanashinda na vichupiImekua kawaida ya mastaa wa kike ulimwengu kupiga picha za nusu uchi wakiwa wajawazito na kuonyesha matumbo yao wazi, style hii imejizoelea umaarufu sana hata kwa baadhi ya mastaa nchini Africa wamekua wakiiga mtindo huo.
Sasa hivi imekua zamu ya mwanamama aliyejipatia umaarufu baada ya kuzaa na mwanamuziki ambaye pia ni mbunge, mh sugu aitwaye faiza ally ,mwana mama huyo amejizoelea umaarufu kutokana na life style yake ya kukaa uchi bila kujali yeyote. Hata hivyo staa huyo ameibuka na picha tata akionyesha ujauzito wake wa sasa huku akifuraia ujio wa mtoto huyo mtarajiwa, pozi mnalionaje?? Kakosea au kapatia?
Ha ha ha hahahaha walikutana na Sugu faCebook
Utani huo. Naona unamlazimisha tu akucharue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuja mbio mbio nikijua ni FAIZA FOX,
Kumbe nilikosea kusoma title vizuri.
Ungemgawa bac mana ukisema kuuza thamn inaongezeka [emoji23]Ningekuwa na mwanamke kama huyu ningemuuza hata bila kudai chochote,., kweli mtoto wa Mh .Sugu ndo anashinda na chupi hadi kwwnye media
.
Acha tu mkuu, wanawake kama hawa huwa wanafikiria kwa level gani.. Kwangu hata uwe na tabia nzur kiasi gani bila kuvaa nguo nakuona hayawani tuUngemgawa bac mana ukisema kuuza thamn inaongezeka [emoji23]
Inakuhusu nini wake za wenzio, ebu lete hoja za maana.Imekua kawaida ya mastaa wa kike ulimwengu kupiga picha za nusu uchi wakiwa wajawazito na kuonyesha matumbo yao wazi, style hii imejizoelea umaarufu sana hata kwa baadhi ya mastaa nchini Africa wamekua wakiiga mtindo huo.