mwanamme anayebadilishana chupi na mwanamke wake amepoteza kadi yake.. unless kama anacheza na mwanamme mwenzie! sijaona timu za watu wa jinsia tofauti wakibadilishana jezi.

Idadi ni ile ile ulizo nazo, kwa sababu wewe unachukua na hapo hapo unatoa yako, unless uniambie kwamba mmoja wenu hakuja na "jezi" kabisa, hapo mwenye jezi ataloose bila kugain
Wadau, ikiwa katika mpira wa miguu kila mechi inapoisha huwa kuna kubadilishana jezi kuonesha "FAIR PLAY".... Je, kama kungekuwa na fair play ya kubadilishana chupi mara baada ya tendo la ndoa ungekuwa na chupi ngapi?

Hahahahahaha ukikumbuke pia kwamba si kila mechi Wachezaji hubadilishana jezi. Kwa hiyo mechi nyingine unaweza usip[ewe jezi hata ukiomba. Nakumbuka Beckham alimkatalia mtu jezi yake kwa sababu mechi ile kwa national team ya UK ilikuwa ni ya 100 kwake hivyo alimtolea nje jamaa. Kama nakumbuka vizuri alikuwa ni mchezaji wa France.