and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Faini mbalimbali (ikiwemo makosa ya barabaran,) zitumike kununua Madawa hospital za Umma na sio kulipana posho
Kwenye matumizi ya rasilimali tuna tatizo kubwa sana. Ila hao wote kwenye meza za maamuzi ni zao la maandalizi mabaya.Faini mbalimbali (ikiwemo makosa ya barabaran,) zitumike kununua Madawa hospital za Umma na sio kulipana posho



hii serikali ilivyokua na uchu wa hela hata shilingi 1000 wanaitolea macho hatari
Serikali : Usitupangie
KaziKweliKweli/JobTrueTrue