Faini Itapendeza

Faini Itapendeza

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
9,429
Reaction score
27,122
857b8746a76cd355f5d4ed851d6bc408.jpg
ef07d9fabe175679dab033967c2b580b.jpg
556459451eac57ab8943c9cd0053722f.jpg


Shinyanga, dereva wa shika kapiga 113kph kwenye barabara ya 50kph,
Baada ya faini, kapicha kakapendeza
 
Dunia hii kuna watu majasiri sana yaani kitendo cha Dk tu kusimama mbele ya hadhara ya mnada na kuudhihilishia umma na yeye ni miongoni wa matajiri mimi nilicheka sana
Huyu jamaa ni next level,

Kwa sasa anapiga pesa tu, makampuni yanamtuia kwa matangazo, wanamuziki wanamtumia kwa videos,

Akituliza kichwa huyu atakuwa tajiri tena very soon
 
Back
Top Bottom