mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,141
- 3,452
- Thread starter
- #41
Yaani ili baca wakufunge ni lazima wakushambulie sana. Waweze kukutawala kati. Sasa angalia liverpool ya saivi inatawalika kati? Pili forward za liverpool zote zinakimbiza wakati beki za barca haziwezi kukimbizwa. Baca out kwa liverpoolLiverpool vs Barca
Naona barca wakipata tabu, kwa sababu nyie mnacheza mpira wa speed, hii itawatesa sana barca.
Sioni barca wakivuka , japo mpira ni game plane na how players will perform pia una maajabu yake.
Sent using simu mbovu