Fainali ya UEFA ni Liverpool Vs Manchester City

mankachara

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
6,140
3,451
Habari za jumapili
Nikiwa kama shibiki wa mpira na hasa mipira ya ulaya. Natabiri wazi kua falinal ya uefa itakua ni kati ya liverpool na man city.

Tuanze na robo final.
Liverpool vs Porto. Hapa sote tunajua kua porto atatolewa nje kwa haya mashindano.
Barcelona vs Man united. Na hapa pia tunaelewa kua man united atatolewa kwenye haya mashindano kule Camp Nou
Man city vs Tottenham. Ijapokua spurs walishinda game yao ya kwanza lakini wakifika pale etihad watatolewa nje ya mashindano na man city atapata ushindi mnene tu kwenye hii mechi
Juventus vs Ajax. Ni kweli watu wengi wanafikiria hii mechi ni rahisi lakini mimi mwenyewe nashindwa kuelewa nani atapita kuelekea nusu fainali kati ya timu hizi mbili

NUSU FINAL
Liverpool vs Barcelona, kumradhi sana wapenzi wa barcelona ambao mmeshajihakikishia kuchukua kombe la laliga. Lakini kwa mwaka huu 2018/2019 liverpool watawatoa barcelona na barcelona watatupwa nje ya mashindano na hatimae liverpool ataenda finali.
Man city vs Juventus/Ajax. Yoyote atakaekutana na Man city kati ya timu hizi mbili Atatolewa na man city ataingia moja kwa moja hadi finali.

Man city vs Liverpool. Kwa mara hii itakua ni tofauti na mwaka jana. Man city atamfunga liverpool na kuchukua kombe la UEFA.
Lakini pia naambatanisha utabiri pamoja na ule wa EPL, natabiri kua Liveroool atachukua ubingwa wa EPL kwani man city atapoteza game mbili kati ya game zilizobakia.

Update zinaendelea kufuata na utabiri huo hautabadilika mpaka pale final itakapopigwa.
Jumapili njema
 
Huu si utabiri ni bange tu za mshikaji mmoja kajivutia zake huko Madale na kuja kuanza kutudanganya hapa.

Mpira haunaga utabiri, kungekuwa kunatabirika nini kitatokea basi soka lisingekuwa na radha. Hizi ni porojo tu japo zinaweza kutokea pia.
 
Unajua maana ya utabiri na unajua kwanini ukaitwa utabiri?
 
Habari za jumapili
Nikiwa kama shibiki wa mpira na hasa mipira ya ulaya. Natabiri wazi kua falinal ya uefa itakua ni kati ya liverpool na man city.

Tuanze na robo final.
Liverpool vs Porto. Hapa sote tunajua kua porto atatolewa nje kwa haya mashindano.
Barcelona vs Man united. Na hapa pia tunaelewa kua man united atatolewa kwenye haya mashindano kule Camp Nou
Man city vs Tottenham. Ijapokua spurs walishinda game yao ya kwanza lakini wakifika pale etihad watatolewa nje ya mashindano na man city atapata ushindi mnene tu kwenye hii mechi
Juventus vs Ajax. Ni kweli watu wengi wanafikiria hii mechi ni rahisi lakini mimi mwenyewe nashindwa kuelewa nani atapita kuelekea nusu fainali kati ya timu hizi mbili

NUSU FINAL
Liverpool vs Barcelona, kumradhi sana wapenzi wa barcelona ambao mmeshajihakikishia kuchukua kombe la laliga. Lakini kwa mwaka huu 2018/2019 liverpool watawatoa barcelona na barcelona watatupwa nje ya mashindano na hatimae liverpool ataenda finali.
Man city vs Juventus/Ajax. Yoyote atakaekutana na Man city kati ya timu hizi mbili Atatolewa na man city ataingia moja kwa moja hadi finali.

Man city vs Liverpool. Kwa mara hii itakua ni tofauti na mwaka jana. Man city atamfunga liverpool na kuchukua kombe la UEFA.
Lakini pia naambatanisha utabiri pamoja na ule wa EPL, natabiri kua Liveroool atachukua ubingwa wa EPL kwani man city atapoteza game mbili kati ya game zilizobakia.

Update zinaendelea kufuata na utabiri huo hautabadilika mpaka pale final itakapopigwa.
Jumapili njema
Umeanza kushabikia mpira ukubwani, pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushakua mafahali wawili sasa hakuna anaetaka kukutana na mwenzie kinyume na hii kauli halisi itakua ni maneno ya ushabiki tu....

Kwa siku hizi za karibuni nitakuwa mfuasi wa Tottenham, katikati ya wiki na mwishoni mwa wiki ijayo.
 
Dua mbaya leo zimeshindwa kufanya kazi sasa nimechoka kua kama shabiki wa Yanga kushabikia kila mpinzani wa mpinzani wako, maombi yanarudi nyumbani kuombea game zote tushinde
 
Mimi kauli mbiu hiyo hainibebi, nasubiri mtoe droo moja kwanza.
 
Back
Top Bottom